mshiriki toka Burundi
mtoto mzuri toka Eritrea
Mrembo toka Ethiopia
Mshiriki toka Kenya
Mshiriki kutoka Rwanda
Mtoto mzuri toka Somalia
mtoto makali mrembo toka Nyumbani Tanzania
mrembo kutoka Ugaanda
Warembo
watakao wania taji la miss East Africa 2012 ijumaa ijayo katika ukumbi
wa mlimani city jijini Dar es salaam, mashindano haya yapo chini ya Rena
Events Ltd. na yatadhaminiwa na TANAPA, Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro,
Ethiopia Airlines n.k
0 comments