PHD adondosha GOING CRAZY toka B-HITS
Huu ni ujio mpya wa PHD msanii mahiri wa R&B hapa nchini aliyetamba na kazi kali kama Alcohol, sasa arudisha tena mashabiki wa wake kwa ngoma mpya GOING CRAZY toka B-HITS chini ya mikono ya producer mkali bongo land Pancho Latino.
GOING CRAZY BY PHD
0 comments