Open top menu
Saturday, November 24, 2012


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, kwenye Uwanja wa Ndege wa Arusha. Kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha, Mary Chatanda.
Pikipiki zikiongoza msafara wa Kinana, kutoka Uwanja wa Ndege wa Arusha
Kinana akipandisha bendera ya CCM, kuashiaria ufunguzi Shina la Wakereketwa Wajasiriamali wa CCM, Nguruma, Arumeru, Arusha.
Ngoma wa Kimasai, ilikuwa ni moja ya burudani zilizopamba mkutano wa Meru, Arusha
Kinana akisalimia wananchi baada ya kuwasili Viwanja vya Usa River kuhutubia mkutano wa hadhara.
 Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kulia, akiteta jambo na Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye katika mkutano uliohutubiwa na Abdulrahman Kinana.
Baadhi ya vijana 150 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliohamia CCM wakionyesha kadi zao za zamani wakiwa Chadema, wakati wa mkutano wa Usa River.
Wazee wa Kimeru, wakimkabidhi vitendea kazi vya jadi, Katibu Mkuu wa CCM, Kinana katika mkutano uliofanyika Usa River, Arusha. Anayemkabidhi ni Ezrom Sumari.

Kinana akivishwa mavazi ya jadi ya Wameru, wakati wa mkutano uliofanyika Usa River, Arusha.
Kinana akiwa na zana za jadi alizokabidhiwa kwa heshima yake na wazee wa Kimeru, katika Mkutano wa CCM uliofanyika Usa River, Arusha.
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments