Open top menu
Thursday, November 22, 2012


Msanii wa Bongo Fleva ambaye anatamba kwa staili ya Crunk Bongo, Cpwaa baada ya kwenda nchini South African kushiriki tuzo za Channel O, but hakufanikiwa kushinda kwenye tuzo hizo ambapo msanii mwenzake toka Tzee, AY aliweza kututoa kimasomaso wa Tanzania baada ya kushinda kwenye tuzo hizo.
Latest infoz kutoka kwa Cpwaa baada ya kuchonga na BK Cop siku ya leo aliweza kufunguka  kwa sasa ana mpango wa kwenda nchini Dubai kwa ajili ya kushoot video yake mpya maana location anayoitaka ni sehemu ya jangwa. Zaidi Cpwaa aliweza kusema video hiyo itafanywa na director Adam Juma chini ya kampuni
yake Visual Lab Next level.
Hivyo mashabiki wake mkae mkao wa kula kuipokea video yake hiyo mpya.
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments