Open top menu
Wednesday, November 21, 2012



Kundi la muziki wa kizazi kipya la Watu Pori alias “Washamba”  kutoka pande za mji kasoro bahari {Morogoro}, limejipanga kurudi tena kwenye game. Kundi ili ambalo lilikuwa linaundwa na members kama Afande Selle, Lameck Ditto, Steven Koba alias Koba MC na wengine wengi.
Kundi ili lilishatamba na ngoma zao kama “Nafsi ya Mtu“, “Fanya kazi“, “Msinichukie“, “Ulibisha hodi” na zingine nyingi.
Round hii limeweza kurudi tena kwenye game baada ya kuachia New Joint kwa jina la “Amani na Upendo” huku Afande Selle na Koba Mc ndio wamehusika kwenye ngoma hii. Ngoma hiyo ambayo imetengenezwa kwenye Studio iitwayo Digital Vibes.
Katika kuakikisha wamekuja kamili kutake Over game, siku ya leo kupitia his Official Facebook Account, member wa kundi ilo Afande Selle aliweza kupost picha na ujumbe unaelezea ujio huo wao mpya in Tzee music Industry.

Hii ndio post ya Afande Selle:

Kuwa wa kwanza kuisikiliza ngoma hiyo mpya kutoka kwa Watu Pori:

Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments