Wachezaji wa Kilimanjaro Stars wakisalimiana na wachezaji wa Somalia kabla ya mchezo wa michuano ya Cecafa Challenge uliofanyika katika Uwanja wa Lugogo nchini Uganda |
Mrisho Ngassa akipongezwa na Athuman Idd baada ya kufunga goli la kwanza |
Mrisho Ngasa wa Kilimanjaro Stars mwenye mpira akijaribu kuwatoka mabeki wa timu ya Somalia wakati wa mchezo wa michuano ya Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Lugogo nchini Uganda |
Beki wa Kilimanjaro Stars, Erasto Nyoni akiambaa na mpira wakati wa mchezo wa Cecafa Challenge dhidi ya timu ya Somalia uliochezwa katika Uwanja wa Lugogo nchini Uganda |
Kikosi cha Kilimanjaro Stars kilichopambana na timu ay Somalia katika mchezo wa michuano ya Cecafa Challenge uliofanyika katika Uwanja wa Lugogo nchini Uganda |
Mshambuliaji wa Kilimanjaro Stars Mrisho Ngassa akiambaa na mpira uliozaa goli la kwanza sekunde ya 48 |
Mrisho Ngassa akishangilia moja ya goli kati ya matano aliyofunga wakati wa mchezo na Somalia uliochezwa katika Uwanja wa Lugogo nchini Uganda |
Mshambuliaji wa Kilimanjaro Stars, John Bocco (kulia) akimtoka beki wa timu ya Somalia, Abdallah Mohamed |
Boko akishangilia moja ya goli wakati wa mchezo na Somalia |
Mashabiki wa Kilimanjaro Stars waishio nchini Uganda wakati wa mchezo wa Cecafa Challenge dhidi ya timu ya Somalia uliochezwa katika Uwanja wa Lugogo nchini Uganda |
0 comments