Open top menu
Monday, December 31, 2012

Kim+Kardashian+Denver+Nuggets+v+Los+Angeles+R6myVbo7zyvl



Hatimaye Kim Kardashian ni mjamzito.Mpenzi wa nyota huyo wa reality TV, rapper Kanye West alitangaza habari hiyo wakati wa performance huko Atlantic City, New Jersey jana.Mwakilishi wa Kim pia amethibitisha habari hizo.
Wakati wa show hiyo Kanye ambaye amekuwa na uhusiano na Kim tangu April 2011 – aliuambia umati “stop the music and make noise for my baby mama.”
Hata hivyo Kim – ambaye anaaminika kuwa na ujauzito wiki 12 bado hajazungumza kuhusu ujauzito wake lakini familia yake imefurahishwa na habari hizo.
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments