JAMANI HIVI WATANZANIA TUTAACHA LINI KUWA MATAPELI???HUYO DADA "MAGGIE R MUNTHALI" AMEVAA
MISS TANZANIA JE MNAMTAMBUA KWAMBA ALIKUWA MISS TANZANIA MWAKA GANI?AU
ALISHIRIKI KATIKA MASHINDANO GANI YA KUMTAFUTA MWAKILISHI WA
TANZANIA?SISI KAMA WATANZANIA TUMESIKITISHWA SANA NA KUTAPELIWA HUKU.
TUMESAHAU
KUWA ULIMWENGU HUU WA MITANDAO UONGO UONEKANA MARA MOJA.DADA HUYU
ALIONEKANA JUMAMOSI WASHINGTON DC KATIKA MASHINDANO YA KUMTAFUTA MISS
AFRICA USA.WASHIRIKI WOTE WALIOSHIRIKI NI WAREMBO WALIOSHINDA MATAJI
KATIKA NCHI ZAO WALIZOTOKA....AU WAREMBO WALIOSHINDA MATAJI NDANI YA USA
YA KUZIWAKILISHA NCHI ZAO.SASA HUYO DADA HAJAWAHI KUSHIRIKI MISS
TANZANIA NA KUSHINDA KULE TANZANIA WALA HAJAWAHI KUSHIRIKI MASHINDANO YA
KUMTAFUTA MISS TANZANIA NDANI YA USA...JE IMEKUWAJE AMEVAA UMISS
TANZANIA NAKUIWAKILIKSHA TANZANIA JE HASHIM LUNDENGA ANAELEWA SWALA
HILI?..JE LUNDENGA ALIMRUHUSU HUYU DADA KUIWAKILISHA TANZANIA NJE YA
NCHI?..KAMA ALIMRUHUSU ALITUMIA VIGEZO GANI KUMCHAGUA?..TUNAPENDA
KUWAKIRISHA NA TUNAMSAPOTI MTANZANIA YEYOTE ANAYETUWAKIRISHA NJE YA NCHI
LAKINI APITIE KATIKA NJIA ZILIZO SAHIHI SIO KUGUSHI KUJIITA MISS
TANZANIA WAKATI HAJAWAHI KUSHIRIKI MASHINDANO YOYOTE YA KUTAFUTA MISS
TANZANIA NDANI NA NJE YA NCHI?...KAMA TUMEKOSEA ALIISHA WAHI BASI BWANA
LUNDENGA TUNAOMBA PICHA ZAKE AKIWA KATIKA MASHINDANO YA KUMTAFUTA MISS
TANZANIA POPOTE PALE NDANI NA NJE....
NA
TUNAOMBA UTWAMBIE JE ALISHINDA NA KUTWAA TAJI HILO?.....WAPO MAMISS
WENGI AMBAO WANAFANYA KAZI KUBWA SANA KUWEZA KUFIKIA KUITWA
MISS,WAMEVIJA JASHO KUPITIA VIKWAZO HADI KUSHINDA NA KUIWAKIRISHA NCHI
VYEMA....TUNAOMBA MTU ANAPOAMUA KUIBEBA BENDERA YA NCHI ASIWE MTU WA
KUFOJI.....HUU NI WIZI WA KUMUITA MTU MISS TANZANIA WAKATI HAJAWAHI
KUWA..TUNAOMBA PIA SWALA HILI MHESHIMIWA LUNDENGA KAMA SIO LA HALALI BASI LIFIKISHWE KWA WAANDALIZI WA MISS AFRICA USA KWANI INAWEZEKANA KABISA WAMERUBUNIWA..AU LABDA WANAVIGEZO VYAO.TUNAOMBA WATANZANIA MLIOKO NJE YA NCHI MSITUDANGANYE NA KUTUIBIA KWANI WATANZANIA SIKUIZI TUKO KWENYE MITANDAO....HABARI HIIZI PIA TUTAZIPELEKA WIZARA YA MABO YA NJE KWANI HUWEZI KUIWAKIRISHA NCHI PASIPO HALALI..!

AHSANTE.....MUNGU IBARIKI TANZANIA !
0 comments