Mrembo Joceline Maro ak,iwapungia mkono mashabiki mara baada ya
kutangazwa kuwa mshindi wa shindano la kumsaka mrembo wa Afrika
mashariki jana katika ukumbi wa Mlimani City.
Mshindi wa kwanza Jocelyne amepata dola
za Kimarekani 30,000 pamoja na gari aina ya Mazda lenye thamani ya dola
15,000 na mkataba wa kufanya kazi na Oganaizesheni ya Miss East Africa
wenye thamani ya dola 15,000.
Mshindi wa pili amepata zawadi zenye thamani ya dola 8,000 ikiwa ni pamoja na kitita cha dola 2,000 na mkataba wa kufanya kazi na Oganaizesheni ya Miss East Africa wenye thamani ya dola 6,000.
Mshindi wa tatu amepata zawadi zenye thamani ya dola 5,000 pamoja na fedha taslimu dola 1,500 na mkataba wa kufanya na Oganazesheni ya Miss East Africa wenye thamani ya dola 3,500.
Joceline Maro katikati mara baada ya
kutangazwa kuwa mshindi wa shindano la mrembo wa Afrika mashariki ,
kushoto ni mrembo wa kutoka Uganda Ayisha Nagudi aliyeshika nafasi ya
pili na kulia ni mrembo kutoka Burundi Ariella Kwizera aliyeshinda
nafasi ya tatu.

0 comments