Mwanadada Enika alikuwepo na alifungua show ya Weusi kwa kuimba wimbo wa Tanzania Tanzani.
Show ilianzishwa na Joh Makini kwa kuimba nyimbo zake kadhaa
Akafuatia Bonta
G-Nako & Nikki wa II walifuatia na kulitawala jukwaa
Lord Eyez alishangiliwa sawa baada ya kuonekana kwenye steji
.png)
By
4:25 AM

0 comments