![]() |
| Mwigizaji maarufu wa kundi la Babatan Babu Mkombe ambaye alizingua ile kinowma kwenya igizo la kumsaka miss Rorya na hapa akiingia kwa mapozi ile-ile ya kimiss dizaini.... |
![]() |
| Mara dushwaaa jukwaani na mapozi... |
![]() |
| Poteza mbayaaaaa....ya Chenga Mbili (kushoto) na Mchele ambaye huigiza kwa sauti ya kisukuma (kushoto) hapa ni mwendo wa kupoteza mbavu. |
![]() |
| Salimia jitambulishe... |
![]() |
| Hakuna pa kukanyaga ukumbini... |
![]() |
| Full pozzZ.. la Chenga Mbili. |
![]() |
| Kura za mashabiki zikiombwa na washiriki kinyanganyiro cha kumsaka Miss Rorya. |
![]() |
| Hapa lazima umsahau mtu... |
![]() |
| Huyu ndiye aliyelinyakua taji. |
.png)
By
11:30 AM











0 comments