Open top menu
Tuesday, January 1, 2013



Habari zilizotufikia hivi punde zinasema msani wa sanaa hapa nchini anayefahamika kwa jina Juma Kilowoko  jina la sanaa SAJUKI amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya taifa muhimbili.Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu 

Wilaya ya Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki 

alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa 


damu. endelea kutufuatilia tutakuletea habari zaidi baadaye kidogo..
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amen.

Source:ITV 
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments