Jana Lady Jaydee akiwa na mumewe Gadner G Habash walianza safari yao
ya kuupanda mlima Kilimanjaro kwa kupitia njia ya Marangu.Safari hiyo ya
siku sita inaongozwa na kampuni ‘Kilidove Tours and Safaris Ltd’ ya
Arusha.Wengine wanaoongozana nao ni mpiga picha wake Justin Bayo.

Picha ya pamoja

Lady Jaydee akisalimiana na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya KINAPA Erastus Lufungilo kabla ya kuanza safari.

Lady akiwa kweye ofisi ya Mhifadhi
mkuu wa KINAPA
mkuu wa KINAPA


Lady Jaydee akiwa na mumewe Gadner

Jide na mpiga picha wake
.png)
By
7:35 AM


0 comments