Baada ya kuachia albam yake iitwayo Pasaka, msanii wa Hip Hop, Kala
Jeremiah jana ameizindua rasmi katika ukumbi wa New Maisha Club na
kusindikizwa na wasanii mbalimbali. Hizi ni miongoni mwa picha za uzinduzi huo.

Ben pol

Roma

Nash Emcee

Kala na Jokate wakiimba kwa pamoja

Dullayo



Darasa

Kala Jeremiah
.png)
By
8:06 AM

0 comments