Mapema wiki hii kulizuka tetesi kuwa nyota wa reggae/dancehall Shaggy amefariki na kuenea kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii.
Tetesi hizo zilidai kuwa Shaggy alichomwa kisu baada ya kutokea ugomvi kwenye nightclub jijini Los Angeles.Mbaya zaidi mpaka mtandao wa Wikipedia uliupdate historia ya Shaggy kuwa amefariki dunia kwa kuamini rumors hizo.
Mwakilishi wa Shaggy ameuambia mtandao wa TMZ, “[Shaggy] is like a cat with 9 lives … but I can happily report that he’s alive and kicking and in the same building as me right now as we speak
0 comments