| Baada ya kuwasili kituoni hapo team nzima ya Career Network Connection(CNC) ilikaribishwa katika ukumbi wa mikutano kituoni hapo. |
| Hiki ndicho kile kidogo wasomi hawa walichoona ni vema kugawana na hawa watoto, ili kuwapa faraja japo ya sekunde katika maisha yao. |
| Afisa utawala akipokea msaada toka kwa team ya CNC |
| Bila shaka watoto walienjoy |
| Usafi pia ulihusika kituoni hapo. |
| baada ya kula na shughuli za usafi sasakilichofuta ni michezo mbalimbali iliyofanywa na watoto hao, it was so funny! |
.png)
By
8:30 AM

0 comments