Open top menu
Sunday, February 10, 2013


Picha/habari na Nicoulaus Trac, Arusha 
Mashabiki wa Simba walivamia basi la wachezaji wa timu hiyo na kuanza kuimba kuwa wanamtaka Emanuel Okwi.
Aidha, mashabiki hao walipokuwa wakihojiwa na moja ya redio ya jijini Arusha, walisema Simba ni mali ya Rage na familia yake na sio ya wana Simba.


Mashabiki wa Simba wamekerwa na sare ya 1-1 dhdi ya Ojoro katika mchezo ulichezwa kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid ikiwa ni sare yao ya pili tangu mzunguko wa pili wa Ligi kuu uanze.
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments