Open top menu
Friday, February 1, 2013

Ajali iliyotokea majira ya saa kumi jioni ya siku ya juzi, Jumanne, Januari 29, 2013 ilisababisha kuvunjika na hatimaye kung'oka kwa mti wa kumbukumbu uliokuwa katika “round about” jijini Mwanza.

Mti uliotumiwa na wakoloni Wajerumani kunyongea Waafrika, ulianguka mara baada ya  gari la kampuni ya vinywaji ya  Coca Cola lenye namba za usajili T988 AFB aina ya TATA kuugonga.

Dereva aliyesababisha ajali hiyo alikimbia.



Aidha, watu wengine wameligeuza tukio hilo kuwa sehemu ya burudani kuukaribisha mwaka mpya kwa kujiburudisha kwa soda nyingi zilizokuwemo ndani ya gari hilo lililokuwa halina mlinzi.

Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments