Open top menu
Tuesday, February 5, 2013




USIKU wa kuamkia leo kulikuwa na shughuli ya sherehe ya kuzaliwa kwa dada wa msanii wa Bongo Fleva nchini Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinum, nyumbani kwake Sinza Mori jijini Dar es Salaam, kikubwa mtandao huu ulichokibaini ni juu ya shughuli hiyo kutawaliwa na wasasambuaji au wazungusha nyonga wa Tandale na K/koo, waliokuwa wamealikwa katika shughuli hiyo.
 
Mauno yalikuwa ya kumwagaaaa…
USIKU wa kuamkia jana kulikuwa na shughuli ya sherehe ya kuzaliwa kwa dada wa msanii wa Bongo Fleva nchini Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinum, nyumbani kwake Sinza Mori jijini Dar es Salaam, kikubwa mtandao huu ulichokibaini ni juu ya
shughuli hiyo kutawaliwa na wasasambuaji au wazungusha nyonga wa Tandale na K/koo, waliokuwa wamealikwa katika shughuli hiyo.
 
Mauno yalikuwa ya kumwagaaaa

Ndiyo habari ya mjini hiyo 
. 
Dada wa Diamond, kushoto akizungusha nyonga na mmoja wa marafiki zake waliokuwa wamehudhulia kwenye shughuli hiyo.
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments