Wema Sepetu akiwa kimahaba na mwanaume aliyedai ni 'mumewe'.
Picha
hiyo ambayo aliiweka kwenye mtandao wa BBM inamuonesha msanii huyo
akibusiana na mwanaume huyo lakini wakionekana kuanzia kwenye kidevu
hadi kwenye kiuno.Baada ya kuitupia picha hiyo, Wema aliandika: ‘Miss you mume wangu, wewe ndio kila kitu katika maisha yangu, watasema sana lakini mambo yetu yanatuendea vizuri.” Maneno hayo yanaashiria kuwa Wema anampenda sana mwanaume huyo ambaye siyo Diamond.
0 comments