Open top menu
Thursday, February 7, 2013

INFphoto_2421352Jana wapenzi waliorudiana rasmi, Chris Brown na Rihanna walionekana wakitoka pamoja nyumbani kuelekea mahakamani jijini Los Angeles.Rihanna alikuwa amevaa sunglasses na mara nyingi alikuwa ameinama chini kuziba uso wake.
Mama yake na Chris, Chris na Rihanna Rihanna
Wapenzi hao walisindikizwa na mama yake Chris Joyce Hawkins wakati huu ambao Brown anadaiwa kudanganya masaa ya kazi alizozifanya kwenye jamii kama sehemu ya probation yake kufuatia kesi ya kumpiga Rihanna mwaka 2009.
Wakili wa Brown Mark Geragos na polisi wa Richmond Virginia wamekanusha madai hayo. Akiongea na waandishi wa habari jana Geragos alisema: Sijawahi kuwa na mteja aliyeteswa kama Chris Brown.
[Chris akiwa mahakamani 
Chris akiwa mahakamani
Chris+Brown+Chris+Brown+Court+Appearance+8Rz29YU8HQhl
Chris+Brown+Chris+Brown+Court+Appearance+M27kK-SvNXwl
Chris+Brown+Chris+Brown+Court+Appearance+ZcGrfD13eH5l
Aliongeza kuwa Rihanna alimsindikiza Brown mahakamani na hajafurahishwa na madai hayo mapya.
article-2274670-1761A1A6000005DC-747_634x418
article-2274670-1761A08F000005DC-189_634x388
Rihanna na Chris walipokuwa wakitoka studio jana Jumatano
Rihanna na Chris walipokuwa wakitoka studio jana Jumatano
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments