Wanacheza mchezo mzuri na wanalipwa fedha nzuri. Ni miongoni mwa
wachezaji wakali zaidi duniani na vilabu mbalimbali viko tayari kutoa
kiasi chochote cha fedha ilimradi viwe vilabu bora. Hii ni list ya mwaka
2013 ya wachezaji soka wanaolipwa dau kubwa zaidi.1. Samuel Eto’o, Anzhi Makhachkala, Urusi – Euro milioni 20
2. Zlatan Ibrahimovic, Paris Saint Germain, Ufaransa – Euro milioni 14.5

3. Wayne Rooney, Manchester United – Euro milioni 13.8

4. Yaya Toure, Manchester City – Euro milioni 13

5. Sergio Aguero, Manchester City – Euro milioni 12.5

6. Didier Drogba, Shanghai Shenhua – Euro milioni 12
7. Fernando Torres, Chelsea – Euro milioni 10.8

8. Dario Conca, Guangzhou Evergrande, China – Euro milioni
10.6

9. Lionel Messi, Barcelona – Euro milioni 10.5

10. Cristiano Ronaldo, Real Madrid – Euro milioni 10

.png)
By
6:17 AM

0 comments