Open top menu
Tuesday, February 5, 2013

HAPA NI CHEGE,DIAMOND PLATNUM NA LINEX WAKIPIGA SOGA ZA HAPA NA PALE KUHUSU MAISHA YAO YA MZIKI.
KUNA WAKATI KIGOMA ALL STARZ HUPA CHAKULA PAMOJA,WA KWANZA KUSHOTO NI MWASITI,MAUNDA ZORO ..ANAYEONEKANA KWA MBELE NI BOSI WAO HABIB MCHANGE.
KIGOMA ALL STAZ WAMESHIRIKI MAFUNZO YA SHIRIKA LA KAZI DUNIA (ILO) CHINI YA PROGRAMU YA KAZI NA AJIRA KWA VIJANA.
ABDUL KINA NA CHEGE KATIKA PICHA WAKIWA DARASANI

KIGOMA ALL STARZ WANADUMISHA UTALII WA NDANI,HAPA WAKIWA KWENYE BOTI NDANI YA MTO WAMI KWAAJILI YA UTALIII..KUPITIA TOUR HII KIGOMA ALL STARZ SASA NI MABALOZI WA UTALII WA NDANI HASA KWA KUANZIA NA HIFADHI YA SAADANI INAYOPATIKANA MPAKANI MWA TANGA NA PWANI-PEMBENI YA BAHARI YA HINDI.
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments