Ukiongelea wasanii watano wanaopendwa zaidi kwa sasa nchini Nigeria,
huwezi kuacha kumtaja Wizkid. Yeye ndio Chris Brown wa Nigeria ama kama
Tanzania basi yeye ndio Diamond. Anapendwa zaidi na wasichana ambao
huzieleza wazi hisia zao kupitia Twitter ni kiasi gani wangependa hata
kupata tu busu lake.Jana kupitia Instagram huenda Wizkid amewaumiza wasichana wengi baada ya kupost picha ya mpenzi wake na kuandika ‘My fine lady’ na kuweka alama za kopa kuonesha jinsi anavyompenda.
Hizi ni miongoni mwa comments za mashabiki wake kwenye picha hiyo:
“All you girls must be pissed now”
“A week to Val’s and he breaks my heart! If u like delete this one too! Hehe”
“expect a couple unfollows”
“Some girls will hang them selfs today bcoz of this pic! Lol”
“Wizkid u are breaking a lot of girls heart right LOL “
.png)
By
6:36 AM

0 comments