Open top menu
Showing posts with label Comedy. Show all posts
Showing posts with label Comedy. Show all posts
Saturday, January 12, 2013
Binti wa miaka 20, Shanteli Rusike, raia wa Zimbambwe awekwa ndani kwa Kesi ya Picha Hii ya Rais Mugabe illiyomuonesha akiwa Mtupu.

Binti wa miaka 20, Shanteli Rusike, raia wa Zimbambwe Mkesha wa X Mass haukuwa mzuri kwake kwani alikamatwa na kuwekwa ndani kutokana na ku share picha inasemekana kumdhalilisha raisi wa nchi hiyo, Robert Mugabe. Tukio hilo lilimkuta binti huyo ambaye aliikuta picha hiyo katika mtandao na kuanza kuwasambazia rafiki zake ambao baadhi yao walikasirishwa na kitendo hicho na kuamua kumripoti polisi. Kesi yake ipo
Read more
Sunday, November 4, 2012