Open top menu
Saturday, January 12, 2013

Binti wa miaka 20, Shanteli Rusike, raia wa Zimbambwe Mkesha wa X Mass haukuwa mzuri kwake kwani alikamatwa na kuwekwa ndani kutokana na ku share picha inasemekana kumdhalilisha raisi wa nchi hiyo, Robert Mugabe. Tukio hilo lilimkuta binti huyo ambaye aliikuta picha hiyo katika mtandao na kuanza kuwasambazia rafiki zake ambao baadhi yao walikasirishwa na kitendo hicho na kuamua kumripoti polisi. Kesi yake ipo
mahakamani na yupo nje kwa dhamana ya dola 100 za kimarekani. Miaka 5 iliyopita, kijana mwingine wa nchi hiyo alikutwa na picha kama hiyo na kutumikia miezi minne gerezani.
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments