
PICHA ZA MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA.MH. LOWASSA ALIVYOTIKISA GEITA

Mgombea
urais wa UKAWA Mh Edward Lowassa ameingia katika mkoa wa Geita kunadi
sera za UKAWA na kupata mapokezi ya kishindo yawafuasi wa mabadiliko
wakiwemo vijana ambao wamesema harakati zinazofanywa na CCM kumchafua Mh
Lowasa hazina nafasi kwani watanzania wamechoshwa na ahadi zisizo na
vitendo

