Baada ya
Godbless Lema kushinda ubunge wake jijini dar es salam huko arusha ni
furaha katika makundi mbalimbali,Vijana wamesimama katika makundi madogo
madogo na wale waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wakipiga hono
mji mzima ambapo watu maweacha kufanya shugulu zao na kujadili ushindi
wa mbunge wa jimbo hilo la arusha mjini.hali ni shwari kabisa..
Hapa ni eneo la wafanyabishara ndogondogo almaarufu kama wamachinga wakiwa eneo la viwanja vya NMC
Shamra shamra nyingi kwa kweli
Sherehe ya wananchi wa Arusha baada ya Godbless Lema kushinda Ubunge
Related Posts
- skendo ya Usagaji iliyomkabili Mwenyekiti wa CCM tawi la Washington DC
- Naibu Waziri wa Elimu Mhe.Philipo Mulugo ajibu tuhuma alizoanzisha Mh.Joseph Mbilinyi za Madai kwamba Mheshiwa Naibu ana Elimu ya Kuunga Unga na Jina Lake Halisi ni Amim.
- Picha za mapokezi ya Katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana jijini Arusha.
0 comments