
Vazi la Utata la Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki"Shyrose Bhanji"Sehemu yote ya Kitovu njenje

VAZI alilotinga Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shyrose Bhanji limezua utata kufuatia kuonesha sehemu yake ya tumboni (kitovu).
Utata huo umekuja mara baada ya picha inayomuonesha mbunge huyo akiwa amejipara na kuvalia vazi hilo ambalo linamuonesha sehemu hiyo nyeti na kutupiwa mtandaoni.