Ni mbunge anaependwa sana na vijana ambapo mtandao wa Ghafla umeripoti kwamba mbunge huyo amenunua gari dogo linaloonekana kwenye picha na kuamua kulipia gharama kubwa kwa kuliandika jina badala ya namba, kaliita SENATOR ikiwa ni ishara ya ndoto zake za kuchukua kiti cha Useneta wa jiji la Nairobi.
Mcheck Yule Mbunge wa Kenya Brothermen akionesha Gari lake Jipya alilolipia Plate Number na Kuandika SENATOR
Ni yule mbunge ambae niliwahi
kuona akipigwa vita kuingia bungeni baada ya kuonekana mara kadhaa akiwa
ndani ya bunge na amevaa hereni.
Ni mbunge anaependwa sana na vijana ambapo mtandao wa Ghafla umeripoti kwamba mbunge huyo amenunua gari dogo linaloonekana kwenye picha na kuamua kulipia gharama kubwa kwa kuliandika jina badala ya namba, kaliita SENATOR ikiwa ni ishara ya ndoto zake za kuchukua kiti cha Useneta wa jiji la Nairobi.
Ni mbunge anaependwa sana na vijana ambapo mtandao wa Ghafla umeripoti kwamba mbunge huyo amenunua gari dogo linaloonekana kwenye picha na kuamua kulipia gharama kubwa kwa kuliandika jina badala ya namba, kaliita SENATOR ikiwa ni ishara ya ndoto zake za kuchukua kiti cha Useneta wa jiji la Nairobi.
Related Posts
- Kampuni ya Steps Entertainment ya jijini Dar es Salaam imeingia kwenye Kashfa Nzito ya Kutumia Hirizi Mlangoni kwa ajiri ya Kuwazima wasanii
- Picha Mbalimbali zikimuonesha Chris Brown akisindikizwa Mahakamani na Rihanna kwenye Kesi inayoendelea Mahakani
- Mama Yake Diamond aamua Kuelezea Swala la Diamond na wanaovumishwa kwamba wana Uhusiano na Diamond Platnum
0 comments