Open top menu
Tuesday, November 20, 2012

Msanii mahiri wa Bongo Fleva almaarufu kama King Zilla au Godzilla kutoka Salasala,baada ya kufanya vizuri katika ngoma zote mwaka huu,sasa basi kama unakumbuka siku zilizopita alishawahi kuzungumzia kuhusu video yake mpya ya "Nataka" akasema kwamba ndiyo yupo katika hatua ya mwisho ya kumalizia video hiyo.Sasa leo jioni kupitia katika ukurasa wake wa facebook aliweza kuitoa rasmi video hiyo mpya akiwa amemshirikisha Marco Chali.

Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments