Msanii wa Hip Hop kutoka A Town City almaarufu kama
JOH MAKINI , baada ya kutamba na ngoma nyingi nzuri hapa Tzee sasa leo aliweza kufunguka na kusema kwamba mwaka huu ajapata mafanikio yoyote katika kazi zake za muziki.
Lakini anategemea kupata mafanikio mazuri mwaka ujao kwa wewe shabiki wake. Baada ya kufunguka hivyo pia alisema kwamba mwaka ujao ameanda project nzuri kwa ajili ya wewe shabiki wake. @info kamili kutoka kwa JOH MAKINI
0 comments