SIKU chache baada ya kutangaza kuokoka, msanii wa filamu Bongo, Irene Uwoya amewaacha watu midomo wazi baada ya kutinga kivazi kilichoacha wazi maungo yake nyeti.
Hata hivyo, msanii huyo hakuonekana kuwa na wasiwasi kwani alikuwa akibadilisha mikao na kuacha nje sehemu yote ya mapaja hali iliyosababisha baadhi ya wasanii kuguna huku wakijiuliza ni kwa nini mwanadada huyo aliamua kuvaa nguo ya aina hiyo mchana kweupe
0 comments