Baada ya P Square kupiga Show Kubwa Kigari Mbele ya Mr.Present sasa Check Show walitifua ndani ya jiji la Kampala
Baada ya kupiga show ya nguvu jijini Kigali, Rwanda weekend iliyopita mbele ya umati wa zaidi ya watu 72,000 akiwemo rais wa nchi hiyo Paul Kagame, Paul na Peter Okoye aka Psquare juzi walipiga show nyingine ya nguvu jijini Kampala kwenye uwanja wa Lugogo. Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo na zingine. Kama kawaida yao waliingia Uganda kwa private Jet.
0 comments