Open top menu
Sunday, December 23, 2012

Nature


Kama ulikuwa haujui Juma Nature yupo Facebook baada ya kuambiwa sana ajiunge na mtandao huo ili kuwa karibu na mashabiki wake. Kupitia ukurasa wake wa Facebook ambapo anatumia jina ‘Juma Natur Kibla’, msanii huyo mkongwe amewashauri wasanii wapya kutoendekeza nyimbo za mapenzi tu
 Nature ameandika, “Nawapa gwala madogo wote mlioingia kwenye game na mnafanya vizuri hadi sasa sema inabid mcibezi kwenye upande wa mapenzi peke yake coz kuna matatizo mengi sana yanayoizunguka nchi yetu na pia asanteni mashabiki wote mnaousapoti mzikii huu wa kibongo nawatakia kheri ya chrismac na mwaka mpya nawapenda wote.”
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments