Mwanamitindo Nicole Natalie Austin maarufu kama Coco Austin, amezaliwa mwaka 1979 huko Tarzana California.
Akiwa na miaka 18 alishinda Miss Ujena Mexico na ndio ukawa mwanzo wa kujulikana kwake,
amewahi kufanya kazi katika kampuni ya Playboy kwa muda wa miezi sita katika shughuli na sherehe zote
za Playboy Mansion, amewahi kutokea katika filamu za Low-budget R-rated
Films ikiwemo Southwest Babes (2001), Desert Rose (2002) na the Dirty
Monks (2004)
Coco amewahi kutokea katika tv shows ikiwemo Hip-Hop Wives, the Comedy Central Roast of Flavor Flav, The Late Late Show with Craig Ferguson,The Dr. Oz Show, and Law & Order: Special Victims Unit.
0 comments