![]() |
| Raque wa I-View mepata mtoto wa kike mwaka huu |
![]() |
| Dogo amidu pia amepata mtoto wa kiume na kumuita Herry jina la rafiki yake Blue |
![]() |
| Afande sele alipata mtoto wa kike na kumuita Asantesana |
![]() |
| Mtoto wa ROMA anaitwa Ivan |
![]() |
| Mtoto wa DJ Choka anaitwa Harrison |
![]() |
| Mtoto wa Blue anaitwa Herry akiwa na mama yake |
![]() |
| Kylnn pia alibahatika kupata watoto mapacha mwaka huu |
![]() |
| Barnaba pia amebahatika kumpata Stive katika mwaka huu |
![]() |
| AT pia amebahatika kupata mtoto wa kike mwaka huu |
![]() |
| Shetta pia amepata bahati ya kumpata Qayllah |
![]() |
| Ney wa Mitego pia amepata mtoto wa kiume mwaka huu |
![]() |
| Sugu amepata mtoto wa kike mwaka huu na kumuita Sasha |
![]() |
| Mtoto wa Sugu |
![]() |
| P-Funk majani amepata mtoto wa kike anaitwa Pavin |
![]() |
| Mtoto wa muimbaji Pipi anaitwa Kingstone |
![]() |
| Mdogo wake Profesa Jay, Simple X pia amepata mtoto wa kike anaitwa michele |
.png)
By
9:27 AM

















0 comments