Msanii wa Bongo Fleva maarufu kama Belle 9 baada ya kukubali na ngoma zake kali,sasa ameamua kwenda mkoani Arusha kufanya video yake mpya na Director Nisher na hizi ni baadhi ya making video yake mpya inayokwenda kwa jina la Listen ambayo anatarajia kuichia mwakani.
Check Behind The Scen ya Video mpya ya Belle 9 na Mtoto Mkali ambae ni Model kwenye Video

0 comments