Open top menu
Tuesday, December 4, 2012

Hatimaye Wana Mzumbe mwaka wa pili na wa 3, walio na mkopo kusaini boom la kwanza na la pili kwa pamoja wiki hii” hii ni baada ya kusubiria mkopo tangia chuo kilipofunguliwa hyo th 22/10 hadi leo!!!!ndani ya wiki hii 1.1 million kwenye akaunti zao hii ni baada ya kukaa bila mkopo tokea wafungue habari kutoka kwa mdau wetu alitueleza wanafunzi hao wa mwaka wa pili na watatu walifurahi sana kutokana na chucheleweshwa kwa mkopo wao pia walisema wameishi maisha ya tabu sana mpaka leo wanasaini mkopo yao hongereni sana wana mzumbe kwa uvumilivu wenu
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments