RAIS WA SERIKALI YA WANACHUO CHUO CHA ELIMU YA
BIASHARA (CBE) KAMPASI YA DODOMA MH ROBERT DAUDI,JANA TAREHE 26/11/2012
ALI HUTUBIA BUNGE IKIWA NI PAMOJA NA KUTANGAZA RASMI KULIVUNJA BARAZA
LAKE LA MAWAZIRI.
HATA HIVYO RAIS HUYO ALIMTEUA BW.MICHAEL MNG’ANG’A KUWAN
WAZIRI MKUU AMBAPO JINA LAKE LILIPITISHWA NA WAHESHIMIWA WABUNGE KWA
KISHINDO.
****** HABARI KUTOKA OFISI YA RAIS********
0 comments