Open top menu
Tuesday, December 4, 2012

Msanii wa Bongo Fleva  hapaTzee almaarufu kama mwanadada Lady J Dee,baada ya band yake kuendelea kufanya vizuri zaidi na zaidi,sasa latest info ambayo tumepata hii leo ni kwamba yupo katika mikakati ya kumrudisha mwimbaji wake wa zamani anayefahamika kwa jina la Mwinyigoha.Baada ya kumaliza kutiririka aliweza kuandika ujumbe mfupi kwa wewe shabiki wake.
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments