Nikiongea mawili,matatu kwa washiriki wa Maisha Plus pamoja na watu wote waliyoudhulia |
Nikipokea zawadi kutoka kwa Babu wa Kijiji cha Maisha Plus.... |
Nikiwa pamoja na Top 5 ya Maisha Plus |
Top 5 wakiwa kizimbani... |
Baadhi ya viongozi waliyoudhulia Final hizo akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo |
Huyu ndiye Mshindi wa Maisha Plus akiwa na Babu baada ya kutangazwa kuwa mshindi Washiriki,Watu mbalimbali wakimpongeza Mshindi wa Maisha Plus.. |
0 comments