Hii ni show kaliya P square na Jose Camerione Mzee wa valuvalu na ndio iliyoja
Kuashiria kuwa pesa wanayo, P-Square waliwasili jijini Kigali, Rwanda na private Jet. Hata hivyo siku za hivi karibuni hilo limekuwa jambo la kawaida hasa ukizingatia utajiri walionao.
Wakipewa support na Jose Chameleone wa Uganda, jana mapacha hao kutoka Nigeria walidhihirisha kuwa bado wanapendwa mno barani Afrika kwa kujaza watu 72,000 katika uwanja wa mpira wa Amahoro jijini Kigali, Rwanda.
Now that’s what we call a sellout concert!!
0 comments