MSANII wa filamu nchini,
Sajuki alidondoka
jukwaani juzi wakati akijaribu
kuwasalimia mashab
iki wake waliofurika kumtazama
kwenye Uwanja wa
Sheikh Amri Abeid, Arusha
Sajuki ambaye jina lake
halisi ni Juma S
aid Kilowoko alikuwa akisu
mbuliwa na matatizo ya
kupungukiwa dawa na kulazimika
kwenda kutibiwa
nchini India.
i katika tamasha la
lililowahusish
a wasanii wa filamu na muziki,
lakini ndoto yake ya
kusalimia mashabiki wake hakuwezekana.
Mara baada ya kukabidhiwa
kipaza sauti Sajuki
alitamka neno moja ”ahhh"
na kudondoka chini na
wasanii wenzake walimsaidia
kuinuka na
kumuondoa jukwaani hapo.
Akizungumza na gazeti hili muda
mfupi mara baada
ya kushuka jukwaani Sajuki
alisema hali yangu si
nzuri kwani nahishiwa nguvu na
anahitaji matibabu
zaidi.
endelea kutembelea folclassic
.
”Kaka hali yangu si nzuri kabisa
naumwa, sijisikii
vizuri,” alisema Sajuki huku
akionekana mnyonge
zaidi...
Hata hivyo, mashabiki wamefurika
uwanjani hapo
walionyeshwa kustushwa na
hali hiyo na kushutumu
wasanii walioamua kumtumia ili
wapate fedha ihali
mwenzao ni mgonjwa.
“Hawa watu wa Bongo movie ni
watu wa ajabu huyu
mtu anaumwa, badala ya
kumwacha apumzike
wenyewe wanamzungusha
bila ya kujali afya yake,”
walisema mashabiki hao.
0 comments