Open top menu
Wednesday, December 5, 2012

Kwa mujibu wa chanzo cha habari hizi inasemekana makao makuu ya mtandao wa Kijamii Facebook kutoka Marekani unaweza kutoa uamuzi mgumu wa kuifungia Uganda kutokutumia Facebook kwa sababu ya nchi hio kupinga mapenzi ya Jinsia Moja. Hivi karibuni Uganda imekuwa ikipinga vikali sana mahusiano ya jinsia moja. Inasemekana tayari kuna mswada utakao jadiliwa bungeni kuhusu sheria flani kupitishwa itakayo toa adhabu kwa mtu yoyote atakaye jihusisha na matendo hayo.
  
Inasemekana wanaharakati wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wamemuomba Mark Zuckerberg kuangalia jambo hili kwa umakini zaidi na Zuckerberg amesema kuwa tamko la mwisho kutoka Facebook kuhusu Uganda linakuja siku za karibuni.  

Facebook imeshaonyesha mbinu zitakazo tumiwa kuzuia nchi hio kutumia facebook ni pamoja na kufuta account zote zilizo fungulia kwenye eneo la Uganda na kuzuia Computer zote za Mac kupata Facebook Uganda.

Marafiki wataathirika na jambo hii  na Makampuni mengi yanayo tumia Facebook kutangaza bidha zao yatapata hasara sana. Je Unasemaje kuhusu jambo hili .

Comments Za Watu Kuhusu Issue Hii.





Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments