MKAZI
wa mtaa wa Tandika,Frank Filias (25) akiwa amelazwa katika hospitali ya
wilaya Temeke wodi namba saba baada ya kupigiwa risasi na
mfanyabiashara mmoja wa mbao kufuatia ugomvi wa kudaiana Sh 100 ya maji
ambayo mama yake mzazi, Sarah Mwaikatale alidaiwa na jirani yake kuwa
alishindwa kumlipa
(Picha Na Christopher Nyenyembe )
(Picha Na Christopher Nyenyembe )
0 comments