Open top menu
Wednesday, January 30, 2013

Hii Ilikuwa Post Kwenye Facebook Ya Pipi Doreen Kuhusu Pete aliyo valishwa na Mpenzi wake. Pipi Aliongea na sammisago.com kuhusu maisha yake kwa sasa na kusema wakati anaujauzito alifanyiwa Ndoa ya Kimila na Kwa sasa baada ya Kujifungua yupo tayari Kufunga Ndoa Kanisani na Anafuraha and She So Happy About It,Alisema Pipi . Kuhusu Mziki Pipi
 

alisema hajaacha mziki ila kwa sasa maisha yake yana mambo mengi ambayo anabidi afanya ila akimaliza atafanya mziki kama kawaida.


Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments