Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee baada ya kwenda Nairobi kwa ajili ya utengenezaji wa video yao mpya 'Me n You' chini ya production ya Ogopa video.
Sasa usiku wa kuamkia leo Ommy Dimpoz alikuwa akiizindua rasmi video yake mpya kwa mashabiki wake.Huku wakisindikizwa na Mwana FA,Dully sykes,Diamond Platinum.
Hizi ni baadhi ya picha za maisha club katika uzinduzi huo wa video mpya Me n You.
Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee
B Dozen EMCEE
Diamond wa wasafi
Mwana FA
DJ Zero akishow love
Warembo na Diamond
Nisher na Ceaser
Deeandy naVanessa Mdee
Dj Zero,Deeandy,Vanessa Mdee na B Dozen
0 comments