Open top menu
Monday, February 11, 2013

Pozi ambazo mastaa Chris Brown na Rihanna wameonyesha bila kujificha katika Sherehe za tuzo za Grammys mwaka huu, ...again zimekuwa katika Headlines mbalimbali huku kila mmoja akijiuliza ni nini wawili hawa wanataka kuieleza jamii.

Hii si mara ya kwanza kwa wawili hawa kutoka pamoja ama kuwa katika ukaribu huu unaoleta mashaka, na hizi ni picha 6 mpya za 'show off' ambayo wameifanya walipokuwa pamoja katika sherehe hizo mapema jana.

A million Tshs question is, Ni nini ambacho picha hizi zina-communicate kwako?





Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments