Open top menu
Sunday, February 10, 2013

Kufuatia mtikisiko uliolipata bunge hususani kipindi cha bunge hili la mwezi huu kutokana na kusimamishwa kwa mijadala ya hoja bungeni na kusitisha ile hoja ya Mbunge wa chadema J,J Mnyika.
katika mkutano wa hhadhara uliolenga kuwapokea wabunge wa upinzani wakitokea dodoma bungeni,Naibu katibu mkuu na Mh Tundu lissu wamezungumza na wanachama na wapenzi wa chadema kuhusu namna ya kuhakikisha Spika wa Bunge anawajibika katika hili.
Chadema wamependekeza njia mbili za kutumika kumng'oa spika wa bunge Mh.Anne Makinda nazo ni.
1.Kwanza ni kuhakikisha wabunge tunapeleka hoja ya kumng'oa Anne makinda kwenye kiti chake cha Spika.Zitto akasema ameshawasiliana na mnyika hoja hiyo ipo tayari.
2.Ni kumfanya Anne makinda (spika wa Bunge) hana namna zaidi ya kung'oka.Mh Zitto kabwe akihutubia wanachama wa chadema akapendekeza njia ya kutumia Umma kumhukumu Anne makinda.Wananchi wakaomba namba ya simu ya Anne makinda  na Job Ndugai ili waweze kuwatumia ujumbe mfupi wa maandishi kwamba "KWANINI UNALICHEZEA BUNGE,TUNAOMBA UNG'OKE"
Namba za simu zilitolewa kwa wananchi zoezi lililosimamiwa na Mbunge wa Arusha mjini Mh:Godbless Lema.
 Namba ya Anne makinda iliyosomwa ni hii.
voda:0754465226 
Tio:0713 " " "
namba ya Job Ndugai Ni
Voda:0762 605951
tigo:0655 " " "
Mh lema akawataka wananchi kuisambaza namba hiyo kwa ndugu na jamaa ili wafikishe ujumbe kwa spika wa bunge.
Tagged
Different Themes
Written by folclassic

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments